Watoto na Wanawake

Orodha ya wakinamama kumi wenye mvuto na ni wana siasa.

January-20
16:47 PM 2016

1. Maria Rosaria Carfagna

Ni mwenye sheria na mwana siasa nchini Italia, aliwahi pia kuwa mwenye mitindo.

2. Emma Kiernan

Ni mwana siasa nchini Irlande, alifahamika sana kwa pica aliyo weka kwenye ukurasa wake wa facebook akiwa na wengina wakila raha.

3. Eva Kaili

Aliwahi kuwa mbunge nchini Ugiriki, pia akawa na mwana habari. Amezaliwa mwaka 1978.
4. Sethrida Geagea

Ni mwana siasa mwenye asili ya Liban. Amelizaliwa mwaka 1967 katika eneo la Kumasi nchini Ghana. Amekuwa mbunge toka 2009 hadi sasa.

5. Alina Kabaeva

Alina Kabaeva ni mrusiya na pia kiongozi wa michezo na ni mwana siasa. Kutoka 2007 hadi 2014 alikuwa makamu wa chama United Russia Party.

6. Sarah Palin

Sarah Palin ni Mmarekani na mwana siasa pia aliye fanya kazi kwenye luninga ya Fox. Toka 2006 hadi 2009 amekuwa gavana wa Alaska.

7. Yuri Fujikawa

Yuri Fujikawa ni mwana siasa nchini Japan, ana miaka 28.

8. Belinda Stronach

Belinda Stronach ni mwana siasa aliye zaliwa mwaka 1966 nchini Canada. Amefahamika sana kwa biashara nchini humo.

9. Ruby Dhalla

Ruby Dalla ni mwana siasa nchini Canada. Ni msimamizi pia wa chama cha uhuru katika seneti ya nchi hiyo.

10. Yulia Volodymyrivna Tymoshenko

Ni mwana siasa nchini Ukraine, amezaliwa mwaka 1960 sehemu iitwayo Dnipropetrovsk.

Mtafsiri : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza