Watoto na Wanawake

Naima Rahamatali : swali la kutofahamu lugha ya Kinyarwanda lasomwa.

January-26
09:19 AM 2016

Siku ya Ijuma mosi tarehe 23 Janwari ndipo pamepitikana uteuzi wa wadada watakawo simamiya mji wa Kigali katika mashindano ya Miss Rwanda ambapo pameteuliwa wadada 9 waliwo jiongeza kwa wadada 16 waliwo tokea mikoa mingine.

Katika hao 9 kuna mmoja aitwae Naima Rahamatali aliyetokea nchini Canada mjini Montreal ambapo ameishi kiwango cha myaka 18 na familiya yake. Katika maongezi yake na vyombo vya habari amesema kwamba hafahamu lugha ya Kinyarwanda maana hakuwahi kuisema lugha hiyo ila amesema kwamba anafanya liwezekanalo ili ajifunze lugha ili akitokea kuwa Miss wa Rwanda awe amesha fahamu hato kidogo.

Mtafsiri : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza