Watoto na Wanawake

Hope and Peace Foundation ilimlinda kukosa amani.

April-11
17:27 PM 2016


Uwababyeyi Honorine aliye anzisha Hope and Peace Foundation.
Hope and Peace Foundation inayo malengo ya kusaidia kinamama waliwo bakwa, watoto waliwo zaliwa kwa wakinamama waliwo bakwa, na watoto waliwo zaliwa kwa wazazi waliwo shiriki katika mauwaji ya kimbali. Honoline anawasidia kupona vidonda na kupokea yalio wafikia.


Uwase Angelique mwenye umri wa miaka 21 ni mmoja mwa wanamemba wa Hope and Peace Foundation, alizaliwa kwa kubakwa kwa wazazi wakati wa mauahi ya kimbali. Katika kauli yake akiongea na TNT, Angelique alisema kwamba kuwa katika foundation hii vimemsaidia sana kupokea yaliyomfikia na kutosikitishwa na maneno wanayomuambia ili kumumiza kwa kumkumbusha hali aliyo zaliwa.
"Mama yangu mzazi alipo niambia nilivio zaliwa nilipigwa na mshituko maana nilikuwa nikishikwa tofauti na ndugu zangu. Ila baada ya kuwa mwanamemba wa Hope and Peace Foundation, niliweza kujipokea, kwa sasa havinisikitishi tena" alisema Angelique.

Kuacha Angelique aliye zaliwa kwa mzazi aliye bakwa, wazazi waliwo bakwa na watoto waliwo zaliwa kwa wazazi waliwo shiriki katika mauaji ya kimbali ni wamoja wanawo saidiwa katika Hope and Peace Foundation.

Mtafsiri : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza