Watoto na Wanawake

Afrika kusini : kuwa bikira kwa wasichana vyawapa fursa ya kusoma bure.

January-25
14:54 PM 2016

Moja mwa tarafa za nchini Afrika ya kusini imeanzisha kazi za kulipia ada ya shule wanafunzi wakike waliwo kutwa bado bikira, kitu ambacho kinamama wamekataa.

Fursa hii iliyo pewa jina la fursa la mabikira imeanzishwa katika tarafa la Uthuleka jijini kwa Zulu Natal. Ili upate fursa hii, lazima utimize mambo haya mawili : uwe na alama nzuri za shule la secondari na uwe we ni bikira.

Mtafisiri : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza