utamaduni na sanaa

Mutesi Jolly ashindia tuzo la Miss Rwanda 2016 (Picha)

February-28
03:35 AM 2016

Wakati wa mashindano haya ya fainali, watu walikuwa wengi na wameonekana kuwashabikiya wadada tofauti.Hapa walikuwa wangali 15 miongoni mwawo pakitakiwa kuteuliwa 5 ambawo watatowa 1 Miss.

Baadae wameteuliwa 5 watakawo towa miss Rwanda 2016.

Kwenye picha kuanzia kusoto : Mpogazi Vanessa, Mutesi Jolly, Muhoza Sharifa, Uwase D’amour, na Kwizera Peace.

Miongoni mwawo 5 paliteuliwa wawili ambawo mmoja wao ametokea kuwa miss Rwanda.

Mutesi Jolly na Peace Kwizera.

Mutesi Jolly baada ya kushindia tuzo la miss Rwanda 2016.

Source : Inyarwanda
Mwandishi : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza