utamaduni na sanaa

Miss Rwanda 2016 : Kwizera Peace Ndaruhutse awazidi wengine kupigiwa kura.

February-13
03:18 AM 2016


Kwenye orodha iliyo wekwa hadharani na wahusika wa kuchaguwa Miss Rwanda 2016, Kwizera Peace Ndaruhutse ndiye mdada aliye kuwa mbele kwa halama 21,435 na wapili wake akiwa na halama 10,022, wanawo fuata wakiwa na halama chini ya 10,000.

Kwizera Peace Ndaruhutse aliye kuwa mbele kwa kupigiwa kura ana urefu wa mita 1,77 na kilo 62. Amesoma Rwanda na Uganda alipo malizia hata chuo kikuu. Watu anawowachukuliya kama kielelezo kwake kuna dada yake Esther Mbabazi ambaye ndiye rubani wa ndege wa kwanza wa kike nchini Rwanda, na Mme Jeannette Kagame

Inasemekana kuwa tarehe 14 ndipo patateuliwa wadada 15 watakawo endelea mashindano miongoni mwa madada 24. Uchaguzi huu utapitikana katika uwanja wa Petit Stade.
Source : Eachamps
Mwandishi : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza