utamaduni na sanaa

Hobe Africa Festival : Wanawake wafurahiya kuwa na kocha wa timu ya taifa.

February-08
14:04 PM 2016

John MacKinstry ni mmoja mwiongoni mwa watu waliwo julikana sana na kusemwa mwanzoni mwa mwaka huu kwa gisi alivyo izoweza timu ya taifa na kuifikisha katika michezo ya robo fainali ya CHAN 2016.

Mtandao wa Makuruki waendelea na kutangaza kwamba kucha huyo wa timu ya taifa bado aendelea kuwa famous sababu ni kocha bado kijana, kwa mavazi yake, na muonekano wenye mvuto kwa wanawake wengi wa mjini Kigali.

Kocha huu asiye penda kuonekana sana katika matamasha, alipo kuwa kwenye tamasha la kumalizia Hobe Africa Festival, wadada walimuona akiwa na wazungu wengine wanawo saidizana kuipa mazowezi timu ya taifa na kumsogelea wakimuomba kupiga naye picha.

Mwandishi : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza