Habari

Kituo cha Television CNBC Africa chatarajiya kutoka Kenya na Kuja nchini Rwanda.

January-26
10:07 AM 2016

Kama ilivyo tangazwa na viongozi television ya kimataifa CNBC Africa yenye ujuzi katika habari za uchumi Africa yakaribia kuhamisha kituo chake na kutua mjini Kigali Rwanda.

Television hiyo yatarajia kufunguwa milango yake na studions zake mjini Kigali mwezi ujawo. Kama alivio ongea na gazeti la The New Times, Patrick Ojil kiongozi wa mambo ya biashara kwenye CNBC Africa, amesema kwamba wamechuwa uamuzi huwo maana serekali ya Rwanda imeyataka hivio na pia imekuabali kuwasaidia.

Mtafsiri : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza