Michezo

🌎 6 makala ya hivi karibuni

Mahojiano na Cristiano Ronaldo baada ya mechi dhidi ya Man City (1-0).

Cristiano Ronaldo anafurahia mechi waliyo ifanya dhidi ya timu ya Uingereza na kunyakuwa ushindi bao moja bila

...
kusoma makala kamili

Champions League : alichokisema Filipe Luis baada ya kuifunda Barcelona 2-0.

Filipe Luis alizungumza na vyombo vya habari baada ya Atletico Madrid 2-0 ushindi dhidi ya Barcelona usiku wa leo, ambayo yaliwafanya wao kushindia tiketi ya nusu fainali kwenye mashindano ya timu bingwa.
Kilinda wa Chelsea wa zamani alikuwa muhimu kwa (...)

...
kusoma makala kamili

Michezo : Zlatan Ibramovic yuko tayari kuhamia Uingereza ila kwa sharti moja.

Tetesi zinazosema kwamba nyota Zlatan Ibrahimovic wa PSG atarajiya kuhamia Old Trafford zachukuwa hatua nyingine.

...
kusoma makala kamili

Mukura VS yafunga AS Kigali na kuchukuwa fasi ya kwanza.

Mukura VS yaipunguzia mwendo AS Kigali katika mchezo wa siku ya 13 ya mashindano kwa kuifunga bao 2 kwa 0, na kujinyakulia na fasi ya kwanza.

...
kusoma makala kamili

Rayon Sport : mshambuliaji mpya Diarra afunga mabao 2 peke yake na kuipea timu ushindi.

Mshambuliaji mpya watimu ya Rayon Sport mwenye asili ya Mali, baada ya kupata kibali cha kucheza mechi ya kwanza, alipachika mabao 2 peke yake.

...
kusoma makala kamili

Uingereza : Jose Mourinho asaini mkataba na timu Manchester United.

Kwa mujibu wa Daily Mail, ilifunuliwa kwamba Manchester United ndiyo kama klabu ambayo alijaribu kumsajiri NEYMAR nyota wa Barcelona. DANIEL STURRIDGE mshambuliaji wa timu ya Liverpool anaweza kumaliza katika majira ya joto. Striker wa Uingereza, ambao (...)

...
kusoma makala kamili

Neymar na baba yake mzazi wakatwa faini ya laki 110 za euro kwa kuto kulipa kodi.

 

Mchezaji wa timu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazil na baba yake mzazi watuhumiwa kuto kulipa kozi nchini kwawo Brazil.

...

kusoma makala kamili

CHAN 2016 : ujumbe wake Florent Ibenge baada ya mechi na Rwanda

 

Baada ya kukabiliyana na timu ya taifa ya Rwanda Amavubi katika michezo ya robo fainali na kujipatiya kibali cha kucheza katika nusu fainali, kocha wa timu ya ma chui ya DRC ametoa ujumbe.

...

kusoma makala kamili

Rais Kagame atoa ujumbe kwa timu ya taifa baada ya kufungwa na DRC.

 

Rais Kagame aliwapa ujumbe wachezaji watimu ya taifa baada ya kufungwa na kutolewa katika micheza ya robo fainali na timu ya taifa ya DRCongo.

...

kusoma makala kamili

CHAN : Wachezaji watimu ya taifa ya Rwanda Amavubi wabadili mtindo wa kushevu nywele.

 

Wamoja wao wamekuwa na mitindo ya kusheve (hairstyle) ya kipekee, ila kwa sasa yote yamebadilika.

...

kusoma makala kamili

Pica zinazo dhihirisha uzuri wa viwanja vilivyo pokea mashindano ya CHAN.

 

Pica hizi zinadhihirisha uzuri wa viwanja vya mpira vilivyo polea mashindano ya CHAN nchini Rwanda.

...

kusoma makala kamili

Haruna Niyonzima aomba msamaha timu na mashabiki.

 

Mwezi disemba 2015, ndipo timu ya Yanga FC ya nchini Tanzaniya imetangaza kuvunja mkataba iliyo kuwa nayo na mchezaji Haruna Niyonzima kwa kuwa hakuzingatia mkataba huyo.

...

kusoma makala kamili

Bokota Kamana : Nitakapo kubaliwa kucheza ntacheza bila shaka.

 

Uongozi wa timu ya AS Muhanga umetangaza yakua uko katika maongezi na aliye kuwa supastaa wa soka nchini Rwanda pindi alipo kuwa akizichezea timu kama Rayon Sport, APR FC na Kiyovu Sport. Anaweza kurudi na kuichezea timu ya As Muhanga katika daraja la kwanza la Azam Rwanda Premier League.

...

kusoma makala kamili

Aubameyang ashindia tuzo la mchezaji bora Afrika

 

Mshambuliaji wa timu ya Borusia Dortmund na timu ya taifa ya Gabon ndiye aliye teuliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2015 barani Afrika.

...

kusoma makala kamili

Ulaya : habari na tetesi za soka.

 

Kama ilivy

...

kusoma makala kamili

Real Madrid imetolewa katika mashindano ya kombe la mfalme baada ya kuchezesha mchezaji aliye simamishwa

 

Real de Madrid imeifunga Cadiz 3-1 kwenye mchezo wa kuwaniya kombe la mfalme usiku wa jumatano. Bao la kwanza la timu hiyo limefungwa na mchezaji Denis Cheryshev mwenye asili ya Russia amabae alikuwa hastaili kucheza kwa kufungiwa michezo.

...

kusoma makala kamili