Habari juu

Nsengiyumva Bosco katika mchezo wake wa kwanza katika timu ya Stradalli - Bike Aid

March-21
14:35 PM 2016


Timu ya taifa ya Rwanda ilifuatiwa na timu ya taifa ya Morocco na Dukla Banska Bystrica. Mnyarwanda Hakuzimana Camera alimaliza michezo hii iliyo pitikana nchini Cameroun kuanzia tarehe 12 hadi 20 Machi akiwa na fasi ya tatu akiwafwata Mmorocco Mohamed Er-Rafai aliye fanya mwendo huo kwa mda wa masaa 26:19:39, na mfaransa Alexis Carlier.

Zaidi ya Hakuzimana aliye shindia medali, wachezaji wa timu ya Rwanda walifanya vizuri kwa jumla kwa maana bado vijana, Tuyishimire Ephrem alichukuwa na fasi ya tatu, Nsengimana Jean Bosco anayechezea timu ya Bike Aid ya Ujerumani akachukuwa na fasi ya tano, na Nduwayo Eric akamaliza na fasi ya saba katika mashindano ya vijana wadogo.

Mwandishi : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza