Habari juu

Jeannette Kagame atashiriki mkutano wa maendeleo ya kina mama nchini marekani.

March-15
04:29 AM 2016


Mke wa Rais wa Rwanda Bi Jeannette Kagame atahudhuria mkutano utakawo fanyika nchini Marekani, Washington D,C. Mkutano huwo una lengo la kuendeleza kina mama na kuimarisha utamaduni wa Kinyarawanda katika Diaspora. Kama inavyo dhihirika kwenye ukurasa wa kwanza wa Bi Jeannette Kagame mkutano huwo utafanyika tarehe 19 mwezi machi mjini Washington, D.C nchini Marekani.

Mwandishi : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza