Burudani

Hairstyle mpya ya Eddy Kenzo yawasemesha wengi.

March-25
03:33 AM 2016


Msani huyo anaye hakikisha kuwa mama yake ni mnyarwanda wa jijini Butare na baba yake ni mganda ila wakiwa walifariki angali bado mdogo. Eddy Kenzo ambaye alisha andika jina lake kwa sasa barani Afrika aliwashangaza wengi kwenye mitandao ya kijami akiweka pica za staili mpya ya nywele zake.

Kama ilivyo tangazwa na mtandao wa Chimp Report, wengi wasema kuwa Eddy Kenzo alishevu staili hii akiwa anajianda kushiriki tamasha kabambe liitwalo SXSW huko Texas nchini marekani wiki iliyo pita. Tamasha hilo likiwa linadhihirisha utofauti wa utamaduni kwa njia tofauti ikiwemo filamu, muziki, na teknolojia.

Mwandishi : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza