Burudani

Diamond Platnumz : alisema kwa nini kasafiri na familia yote.

April-14
03:06 AM 2016


Msanii huyo amesema hii ni mara yake ya kwanza kusafiri na familia yake, kama mama yake hajawahi kwenda ulaya kabisa hivyo ameamua kumtoa ushamba.
"Miaka inaenda na tangia ’nimetoboa’ sikuwahi kusafiri na mama yangu kwanza hakuwahi kwenda Europe au Ulaya alikuwa anaisikia tu kwenye bomba, inaweza kuwa kesho au kesho kutwa nikadondoka nikafa halafu mama yangu akabaki tena kuisikia nikaona ni bora kwenda kutoana ushamba kabisa" alisema Diamond akiongeo na mtandao wa Ayo TV.
Msanii huyo amesema tena kuwa ataendelea na ’tour’ yake ambapo atafanya ’show’ 3 marekani, na pia ’show’ nyingine zitafanyika India, Dar es Salaam , Mwanza, na Australia.
Video hapa chini :

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza