Burudani

Diamond Platnumz akana habari ya kumpima Tiffah DNA.

March-17
13:23 PM 2016


Kama ilivyo tangazwa na mtandao wa eatv, katika mahojiano yake na eNews Diamond amekana habari isemayo kwamba amempima mtoto wake DNA ili kuhakikisha kwamba ni kweli Tiffah mtoto wake.“ Kumpima mtoto wako DNA ni kutojiamini na yeye hawezi kufanya hivyo. Nilianza kumjua Tiffah akiwa tumboni.” Anasema Diamond.

Diamond eliendelea akisema kuwa picha anayo muonyesha akilia ni ya show aliyo ifanya uko Dar Live.

Mwandishi : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza