Burudani

🌎 6 makala ya hivi karibuni

Tanzania : wimbo wa snura wapigwa marufuku.

Chura ndio wimbo wa mwana mziki wa nchini Tanzania ulio pigwa marufuku.

...
kusoma makala kamili

WCB yadaiwa wizi wa ngoma ya Bado

Producer Frag kutoka Uptown Music ametumbua jipu baada ya kuibuka na kusema kuwa yeye ndiye aliyetengeneza wimbo wa Bado wa Harmonize na Diamond.

...
kusoma makala kamili

Habari : Papa Wemba aiaga dunia nchini Ivory Coast

Wakati wa siku ya pili ya tamasha ya Anoumabo FEMUA 9, msanii Papa Wemba akisubiriwa na umati mkubwa siku ya Jumamosi, alitoa show wakati wa kilele cha msanii mpaka saa kumi na moja na dakika 28 kabla ya kudondoka chini.

...
kusoma makala kamili

Diamond Platnumz : alisema kwa nini kasafiri na familia yote.

Msanii maarufu wa Bongo Fleva Nasib Abdoul a.k.a Diamond Platnumz baada ya Tour alio ifanya nchi za ulaya, alipo wasiri Dar-Es-Salaam alisema ni kwa nini aliamuwa kusafiri na familia yake akiwemo na mama yake mzazi.

...
kusoma makala kamili

Hairstyle mpya ya Eddy Kenzo yawasemesha wengi.

Eddy Kenzo msani wa kwanza Afrika mashariki kunyakuwa tuzo la Bet Award kwa wimbo wake Sitya loss aleta mtindo wa kushavu nywele ambawo umewasemesha wengi.

...
kusoma makala kamili

Diamond Platnumz akana habari ya kumpima Tiffah DNA.

Baada ya kuzaga habari ya Diamond kwamba kampima DNA Tiffah Dangote mtoto wake, Diamond amekanusha habari hio.

...
kusoma makala kamili

IGIHE Ltd yaanda mashindano ya kuandika stori za mapenzi ili kusherekea siku kuu ya wapendanao.

 

Kama kawaida kila mwaka, siku kuu ya wapendanawo inapo karibia, IGIHE Ltd huwa inaanda mashindano ya kuandika stori za mapenzi ili kufanya siku hiyo iwe nzuri zaidi.

...

kusoma makala kamili

Wema Sepetu : baba mtoto ajulikana

 

Si siri tena, Idriss Sultan mshindi wa Big Brother Africa mwakani 2014 atangaza rasmi kwamba mimba anayo Wema Sepetu ni ya kwake.

...

kusoma makala kamili

Mpe support Meddy ili wimbo wake Nasara utimize views milioni moja.

 

Msani mwenye asili ya Rwanda mwenye makaazi yake nchini Marekani, Ngabo Medard aliye julikana kama Meddy mwaka huu anaweza kuwa mmoja miongoni mwa ma supasta na kuwa wa mapato kwake ajili ya wimbo wake NASARA inayo karibia kutimiza views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube.

...

kusoma makala kamili

Rick Ross : Album yake mpya itaachiwa tarehe 4 disemba.

 

Kwa wiki kadhaa, Rick Ross ametumika sana kwa ajili ya kutolewa kwa albamu yake ya nane. Kwa sasa anafunua tracklist na moja ya vipande muhimu.

...

kusoma makala kamili

Rihanna : album yake mpya "ANTI" itapatikana exclusive kwa wiki moja Tidal.

 

Kuna tetesi kwamba msani maarufu wa umarekani Rihanna ataaciya album yake na ya nane iitwayo "ANTI" ijuma hii kwenye mtandao wa Tidal peke yake kwa kipindi ca wiki moja kabla ya kuwekwa kwenye mitandao mingine.

...

kusoma makala kamili

Watoto wa mitaani katika Kinshasa : hadithi ya ajabu ya ’kiongozi mdogo’ mwenye kipaji cha kuimba.

 

Mjini Kins

...

kusoma makala kamili