Biashara

Mashindano ya soko la ujenzi wa reli itakayo unganisha nchi ya Kenya, Uganda, Rwanda Burundi yaanzishwa.

March-25
04:15 AM 2016


Maraisi wa nchi za jumuhiya la Afrika mashariki wakianzisha ujanzi wa reli.
Wakati kanda la Afrika Mashariki laweka nguvu kwa kupunguza bei ya usafiri, center hizo zilizo teuliwa zitachora, zijenge na zifuatilie ujenzi wa reli hiyo yenye urefu wa kilomita 1665. Center hizo bado kutajwa jina kama ilivyo tangazwa na The East African. Mradi huwo ndiwo mradi uliwo chukuwa kiwango kikubwa cha pesa katika miradi ya kanda la Afrika mashariki, utachukuwa biliyoni 7.6 dola za Marekani.

"Siwezi kutangaza majina ya center zilizo teuliwa ila asilimia 60 ni za nchini China."Alisema Mtaalam wa njia za gari ya moshi katika ukatibu wa EAC Imbuchi Onyango. Reli ya Dar es Salaam-Isaka-Kigali- Keza-Musongati ni mmoja mwa mabarabara apaswayo kujengwa katika landa la Afrika mashariki.

Reli itakayo saidia katika maendeleo ya kanda hili
Center inayo husika na maendeleo ya usafiri nchi Rwanda yasema kwamba kilomita 172 za reli hio zitajengwa nchini Burundi, Rwanda pawe kilomita 123. Kilomita 407 zitajengwa nchini Tanzania kutoka Keza hadi Isaka na kilomita 970 kutoka Isaka hadi Dar-Es-Salaam.

Mwandishi : Rene Gitangaza

Partager

Kuandika maoni yako

E-mail yanyu ntaho izagaragazwa.
Ahari aka kamenyetso * ningombwa kuhuzuza